mapenzi ni ile hali ya kupendana na mpenzi wako maisha hadi kufa,kutosalitiana ,kuheshimiana ,kupendana,kulindana,kusaidian a,kumcha mungu,kushughulika pamoja,kufurahi pamoja na kuwa mwili mmoja.
hawa watu wawili tunawaita ndo wapenzi kutokana na hizo sifa hapo juu,usiseme "mpenzi kanisaliti"umekosea mpenzi hasaliti ,usiseme" mpenzi wangu anakera " mpenzi hakeri, mpenzi hachepuki,mpenzi ni wako peke yako tu basi ila kizazi tulichopo sasa ndo kinaharibu uhalisia na picha halisi ya mapenzi na mpenzi
mimi huwa nashangaa sana dada zetu kujiuza ,halafu ndo hao hao eti mama wa taifa la baadaye inakera ,inapotosha ,ina ua maadili,si kitu kizuri,inawafanya wanaume wawaone wanawake ndo sampuli ya makahaba kwa mavazi hamna tofauti nao,kwa lugha,kwa itikadi za maisha ya kawaida pia embu ona ladha iko wapi ile hamu ya kupenda ipo wapi
,![Click image for larger version.
Name: 2.jpeg
Views: 0
Size: 7.6 KB
ID: 173596]()
![Click image for larger version.
Name: 3.jpeg
Views: 0
Size: 9.9 KB
ID: 173597]()
![Click image for larger version.
Name: 1.jpeg
Views: 0
Size: 10.6 KB
ID: 173595]()
![Name: 4.jpeg
Views: 0
Size: 8.5 KB]()
![Click image for larger version.
Name: 5.jpeg
Views: 0
Size: 6.5 KB
ID: 173608]()
![Name: 6.jpeg
Views: 0
Size: 6.8 KB]()
![Click image for larger version.
Name: 7.jpeg
Views: 0
Size: 4.9 KB
ID: 173610]()
![Name: 8.jpeg
Views: 0
Size: 8.8 KB]()
IT HAS TO REACH A TIME WATU WAJAUE NINI WANAIGA NA KINAMANUFAA GANI OTHERWISE SHIMO UNALOINGIA HALINA UWEZEKANO WA KUTOKA MAANA MAJI YATAJAA NA UTAFIA HUMO
REALITY
hawa watu wawili tunawaita ndo wapenzi kutokana na hizo sifa hapo juu,usiseme "mpenzi kanisaliti"umekosea mpenzi hasaliti ,usiseme" mpenzi wangu anakera " mpenzi hakeri, mpenzi hachepuki,mpenzi ni wako peke yako tu basi ila kizazi tulichopo sasa ndo kinaharibu uhalisia na picha halisi ya mapenzi na mpenzi
mimi huwa nashangaa sana dada zetu kujiuza ,halafu ndo hao hao eti mama wa taifa la baadaye inakera ,inapotosha ,ina ua maadili,si kitu kizuri,inawafanya wanaume wawaone wanawake ndo sampuli ya makahaba kwa mavazi hamna tofauti nao,kwa lugha,kwa itikadi za maisha ya kawaida pia embu ona ladha iko wapi ile hamu ya kupenda ipo wapi
,