Tujitizame sote pamoja na wote wale wanao taka urais mwakani, nje kua mtu mwenye utashi wakuifanya Tanzania yenye neema kwa asilimia kubwa kwawote tunayo? Na yuko wapi? Kwavigezo vipi? Hii nchi tulipo fikia na umri wetu, tumedimaa kwakiasi kikubwa. Wenye lika yetu wengi wametupita kwa mengi. Sisi nikama hatutaki kujua tulipo jikwa, tupo bize kuhangaika napale tulipo angukia. Nani ataanza kutuvusha ilikuanza kasi ya kweli ya maendeleo kama nchi zingine zenye umri wetu mwakani?
↧