CCM ni chama nachokifananisha na mti wa MBUYU... mizizi yake imetandawaa mpaka kwenye mashina ya miti mingine... kuug'oa mti huu yataka mashoka yaliyonolewa hasa.. na wag'oaji makini wanaoujua vyema mbuyu na mizizi yake. vinginenyo ni kama kuupalilia na kuumwagilia maji ili ustawi.
↧