Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live
↧

News Alert: Ajira

Anaitajika msichana wa kazi umri 25 elimu kidato cha 4 awe anajitambua kazi ni za ofsini dar es salaam wilaya ya kinondoni kwa maelezo zaidi wasiliana no 0754400495

View Article


Mbuyu haug'olewi kirahisi na shoka butu noeni mashoka

CCM ni chama nachokifananisha na mti wa MBUYU... mizizi yake imetandawaa mpaka kwenye mashina ya miti mingine... kuug'oa mti huu yataka mashoka yaliyonolewa hasa.. na wag'oaji makini wanaoujua vyema...

View Article


Ugonjwa wa meno

Hapa naugulia jino hadi ufizi umevimba.. Naomba kwa hakika kujua asili/chanzo halisi ya/cha kuugua/kuoza meno na kama kuna dawa ya kutibu (sio kutuliza) au lazima kung'oa.. Nisaidieni wenye utaalamu...

View Article

Prof. Kitila Mkumbo: Lowassa ni mchapa kazi,muadilifu na mwenye falsafa

Ni maneno yake katika makala aliyoiandika katika gazeti la Raia Mwema la leo. Inapatikana ukurasa wa 7 wa gazeti husika. Ameeleza mengi kutetea hoja yake. Binafsi,sijaona mahali alipothibitisha madai...

View Article

News Alert: Kwa nn kila mtu anaropoka yake kuhusu TCU?

Habar zenu kwanza.hoja yangu mm ni kuhusu hawa jamaa wanaotunga sms na kusambaza kwa wa2 kila cku kuhusu hawa tcu sielew nia yao wanataka kuwatia wenzao presha au wana malengo gan?tusaidiane tujue

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ubunifu

Ubunifu Attached Thumbnails    

View Article

Ujenzi wa ofisi za act - kigoma

WanaJF, Baada ya kuona chama kipya cha ACT - Tanzania kikiwa na hali ya kukubalika nchini kuna mdau mmoja yuko tayari kuwasaidia ujenzi wa Ofisi nne katika maeneo mbalimbali ya mkoa Kigoma, Geita, Hai...

View Article

Askali polisi wawili mkoani ruvuma warushiwa bomu.

Askari wawili wa jeshi la polisi mkoani ruvuma eneo la matarawe wamejeruhiwa vibaya na kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutengeneza kienyeji. source ITV

View Article


Breaking News: Askari walipuliwa kwa bomu

Ni askari polisi wawili mkoani Ruvuma wamejeruhiwa vibaya baada ya kulipuliwa kwa bomu wakiwa doria. Kwasasa wanasubiri upasuaji wakiendelea vyema. Wamelipuliwa kwa böu eneo la Matarawe Songea....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zuma: 67 South Africans Died in Synagogue Building Collapse

Mungu awatie nguvu familia za wafiwa, waliojeruiwa, T.B. Joshua, Wise men and SCOAN team katika kipindi hiki kigumu. Zuma: 67 South Africans Died in Synagogue Building Collapse17 Sep 2014 Views: 4 Font...

View Article

Hivi traffic wameajiriwa kuchukua fine tu??

Binafsi sijawahi kuona trafic wakielekeza magari kwa upole. Ila wao wanachojua ni kupiga fine tu, na mbaya zaidi wanataka ulipe cash hapohapo wakati hyo fine unaweza kulipa ndani ya siku saba....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

News Alert: Picha: Manhattan ya sinza(crib) ya martin kadinda.

Huu ndo muonekano wa ndani wa nyumba wa aliyekuwa manager wa msanii maarufu, wema sepetu aitwaye martin kadinda(picha chini), mwenyewe aniita manhattan ya sinza. Alipost hii picha juzi kwenye mtandao...

View Article

News Alert: Kafulila amvaa cag!

1. CAG Akabidhi ripoti ya uchunguzi wa ufisadi wa 200bn kabla hajacha Ofisi siku ya ijumaa. Hii ni kwasababu yeye mwenyewe kabla hajagizwa na Bunge aliomba siku45 marchi20 na leo zaidi ya siku 160...

View Article


News Alert: Kuna nininkatika benki ya twiga bancorp?

Mimi nafutilia kwa karibu sana utendaji kazi wa benki zenye sura halisi za kitanzania kwani ni unauhakika faida itayopatikana haitoki nje kama mabenki mengine.Kwa siku za karibuni baadhi ya huduma hii...

View Article

Asilimia Ya Waumini Wa Dini Mbalimbali Nchini Israel

Kutokana Na Data Kutoka Israel Central Bureau Of Statistics ya mwaka 2011. Wananchi Wa Waisrael Wamegawanyika Katika Dini Kama Ifuatavyo Jews-75% Muslims-16.9% Christians-2.1% Droze-2% Non religion-4%...

View Article


Polisi acheni kutunisha vijimisuli, mpo si zaidi ya 35 elfu!

Watz waandamanaji wapo si chini ya 40mln; huku polisi wakiwa si zaidi ya elfu 35, lakini viongozi wao wanaendelea kuneng'eneka na kauli zao za kuwatisha wananchi wasiandamane kupinga kodi zao kuliwa...

View Article

yamekukuta na wewe!

habari yenu wana jf leo nakuja na mada hi najua wengine huona aibu kuzungumzia, mimi binafsi nishavamiwa kama mara mbili na kuporwa ila namshukuru mukngu sikuchezea kichapo maana nilitii amri niliwapa...

View Article


Jeshi la polisi Dodoma lazuia maandamano ya CHADEMA yaliyopangwa kufanyika...

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limetoa tamko la kuzuia maandamano ya Chama cha CHADEMA hapo tarehe 18/09/2014 na kuwataka wananchi kuyapuuza. Akiongea na waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Polisi...

View Article

Duru: Hatima ya muungano na dalili za kuvunjika mapema

Samhani mada mejirudia kimakosa. cc Moderator Invisible

View Article

Kufungiwa jamii forum

Nilipigwa pini toka mwezi wa tatu mpaka leo mwezi wa tisa bila kujua sababu so sijui nitajuaje sababu wanaojua sababu wanijuze au sehemu nayoweza kuambiwa sababu ya kupigwa pini

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>