WanaJF,
Baada ya kuona chama kipya cha ACT - Tanzania kikiwa na hali ya kukubalika nchini kuna mdau mmoja yuko tayari kuwasaidia ujenzi wa Ofisi nne katika maeneo mbalimbali ya mkoa Kigoma, Geita, Hai na Mwanza. Ninachopenda kuuliza toka kwa viongozi wenye dhamana na chama hicho Je, mnazo ramani "National Standard" au huyu mzalendo anayetaka kujitolea afuate njia zipi au mawasiliano gani?
Chama kiendelee kujinadi kwa wananchi kwani nimeona kina dalili za kukubalika na kuungwa mkono.
Nitashukuru kwa msaada wenu.