Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

yamekukuta na wewe!

$
0
0
habari yenu wana jf

leo nakuja na mada hi najua wengine huona aibu kuzungumzia, mimi binafsi nishavamiwa kama mara mbili na kuporwa ila namshukuru mukngu sikuchezea kichapo maana nilitii amri niliwapa walichotaka hela,
nakumbuka mara yangu ya kwanza kwenda south africa 1997 kufika tu nkala loba watoto wa kizulu wakanipora ila tulioneshwa vizu
ya pili nilikuwa naenda kondoa nkapitiaga dodoma barabara ya kwenda aneti kuna pori linairwa msitu mtungutu nlikuwa kwa bus..bus likatekwa tukashushwa ila mimi niliweka hela kidogo pembeni walizichukua...wenzangu waliyojifanya wagumu walikula kibano ...warangi waliporwa hela zao walizouza ufuta....kweli kuvamiwa ni hatari
haya kama kuna aliyekutwa na mikasa kama hiyo atiririke asione aibu kwani mambo haya hutokeaga tu

goosmorning.....wana jf

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>