Mtoto wangu msichana yupo darasa la tano ana miaka 11, tatizo lake ni kwamba kila akilala usiku lazima akojoe kitandani, tangia azaliwe amekuwa kikojozi najaribu kumuamsha ila nikichelewa kidogo nakuta tayari kashakojoa, wana jf nlikuwa naomba msaada kama kuna dawa ya kumsaidia mtoto wangu.
↧