Ili tanzania ibadilike tinahitaji kuwa na wabunge wengi wa upinzani ili kuleta tija katika kuisukuma nchi mbele....na huwa watu wa upinzani sehemu zenye nguvu kwa nccr apewe nccr na wamsupport wote..cuf hivyo hivyo....chadema hivyo hivyo. Urais bado kuna changamoto sana kutoka kwenye mataifa ya nje na taasisi kubwakubwa za ndani zinaikubali ccm. Hii ni kutokana ba ushirikiano wa chama tawala na mashirika ya nje + na taasis za ndani. Bila kufanya hivyo tutabaki kulalamika na kupiga kelele. Hebu fikiria leo tungekuwa na wabunge 250 wa upinzani suala la katiba lingeeleweka. Hii inawezekana ukitazama matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010.. utakuta jimbo aliyeongoza kura ni ccm ana kura 12300 cuf ana 4500 chadema ana 6000 nccr ana 3500 ukijumlisha kura zote za upinzani utaona taswira nzima. Kwa mfano maeneo ya lindi mtwara na tanga cuf inakubalika kigoma ni nccr na kanda ya kati. Ukija kanda ya ziwa na kusini ni chadema. Hapo ndo wapinzani kama kweli wanania njema wafanye hivyo. CCM bado wananguvu kutokana na vizazi vyetu vimezaliwa ndani ya ccm mfano mimi baba yangu alikuwa mwanaccm haswa mpaka leo kadi huwa naingalia....ingawa yeye katutangulia mbele ya haki.
↧