Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Blacklist season 02 released

$
0
0

Haya haya wale wazee wa movie za ki spy na intelligensia yule mtaalamu mtuhumiwa(Ex FBI agent)-Most wanted fugitive anayejua mambo mengi kushinda FBI wenyewe Mr Redington akiwa na mwanawe keen wameshaanza kuporomosha mzigo mpya wa Season 02 ,uko kwenye extra-torent unaweza kuufikia moja kwa moja kupitia link hii hapa chini

The Blacklist S02E01 HDTV x264-LOL[ettv] - FREE Torrent Download - ExtraTorrent.cc The World's Largest BitTorrent System

Nakumbuka katika Season 01 ,Elizabeth keen alishaonyweshwa indicators zote kuwa RED ni Baba yake mzazi na pia keen aligundua kua Red ndo alimuua baba yake mlezi kule hospitali kwa kupitia kwa Boyfriend wake _Tom ambaye kiuhalisia alikua ameji-attach kwa mdada keen kama undercover wa ku infiltrate data facility na mtu mmoja tu pekee ambaye alikua anajua ni Mr Red,ukweli ambao keen hakuuamini hadi alipokuja ku prove yeye mwenyewe
Ngoja tuangalie Season 02 itakaje baaada ya series ya matukio ya season 01 ingawaje bado FBI wanahisi Red is after something katika series ya mauaji ya watu wote ndani ya blacklist somebody called BERLIN, Harold cooper akiwa kama assistant director of FBI alitotoa ruksa (immunity) kwa Red kusaidiana na FBI ku carry missions za kuwa expose na kuwaangamiza Blacklist ,Wamo Donald Ressler etc

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>