Soundtrack ya original comedy.
Wadau kuna wimbo huwa unatumiwa kama sound track kwenye kipind cha orijinal comedy ya akina Masanja pale kwenye category ya Ze professeri. Najua kuwa ni wimbo wa Lokua kanza mwanamuziki wa Congo...
View ArticleChopa ya Chadema yamchefua Godfrey Zambi
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi amekerwa na hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutumia helikopta na kupandikiza maneno ya uongo kwa wananchi...
View ArticleUhalisia: Hali ya zao la Pamba kwa hivi sasa inasikitisha sana!
Hapa nikiwa najaribu kupembua baina ya siasa "maji taka kwenye mazao ya biashara" na utekelezaji wa kweli kwny sehemu husika, zao hili la pamba ni mojawapo ya rasilimali itakayopotea kabisa muda mfupi...
View ArticleLAPSSET tracking
These two reports have implications on the ambitious LAPSSET projects as Ethiopia and South Sudan are envisaged members of this project South Sudan 'leaning towards Djibouti oil pipeline'By MOHAMMED...
View ArticleSamuel Sitta awapa somo Kagame (Rwanda), (kaguta Mseveni)Uganda
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema ugomvi wa wanasiasa katika jumuia hiyo hauwezi kuathiri shughuli za kibiashara na uchumi wa Tanzania kwa kuwa wafanyabiashara...
View ArticleNews Alert: Samaki Samaki Mbezi Beach inaungua
WanajV Kutoka mbezi beach hapa naona samaki samaki inaungua moto ni mkali Nipo eneo la tukio ningewawekea picha lakini simu yangu ya mchina Moto unawaka kuelekea Shekinah garden Nitatuma picha soon...
View ArticleKoo langu - Msaada please
Habari zenu wakuu.... Nimekuwa na maumivu ya koo kwa muda fulani, maumivu sio makali ila huwa nahisi kama kuna kitu kinakwaruza na kuuma kiasi (kwa muda mrefu sasa). Tatizo hili hutokea mara kwa mara...
View ArticleCatering services katika shughuli zote
Je unatafuta watu wa kukuandalia katika shughuli yako?..Unatafuta chakula kitamu lakini hujui wapi pa kuanzia? ...Kwa mahitaji ya huduma ya vyakula,vinywaji katika shughuli mabalimbali kama Harusi,...
View ArticleUshoga katika nchi za dunia ya tatu
Kama ilivyozoeleka kwa nchi za dunia ya tatu kuletewa mambo na kuyaendeleza kwa moyo wote. swala hili naliona pia hata katika hii ishu nzima ya ushoga. Kwanza naanza kukupa mifano ya vitu ambavyo watu...
View ArticleViwanja viwanja goba
Wadau gharama ya kununua kiwanja ambacho hakijapimwa ni kubwa mno ikiwemo kubomolewa nyumba na kuambiwa matumizi ya hapo ulipojenga siyo makazi na hapawezi kupimwa. Hivyo basi tumeamua kuwaletea...
View ArticleNews Alert: Why do you think, the special brigade is formed by two enemies of...
Interview Bisimwa The Political Leader of M23: ‘We are not afraid of SANDF and TZ mercenaries’Camarade Bertrand Bisimwa The political Leader of M23 Bisimwa: ‘We are not afraid of mercenaries’By Anneke...
View ArticleHello to all members JF
I great you all and I wanna join you in useful interactions for our national development. regards; Kiongozi Makini
View ArticleCounter ya Uhuru peak!!!
If you are a real Man. Avoid sitting at that counter at all cost. Kama unataka kunielewa nenda pale kuanzia saa tatu usiku angalia mienendo ya watu waliokaa pale conter. So emberassing!!!!!. Na hii...
View ArticleBenk ya crdb yashiriki katika ulaghai wa wateja wao.
Ni siku nyingi nlipewa hii taarifa na rafiki yangu kuhusu benk ya CRDB kushirikiana na makampuni ya udalali kulaghai wateja wao wanaochukua mikopo kuweka mbinu za kuwafanya wasirudishe marejesho yao ya...
View ArticleOrodha ya Gazeti la Jamhuri ni kumsafisha Boss Mmiliki wao na tuhuma za Unga?
Gazeti la Jamhuri leo lina hoja na orodha ndogo ya drud dealers na wanamtandao wao mahakamani na kwingneko serikalini wanaolinda dili zao. Je wanachofanya Jamhuri ni mchezo wa kumsafisha na kumuondoa...
View ArticleTemesa na Wananchi _ Kigamboni
Jamani, kuna kitu hapa naona hakiko sawa. Hoja si tusilipe nauli wala si kutokukusanya mapato."Kwa mujibu wa Temesa, nauli za kivuko kwa watu wazima ni Sh200 na watoto hadi miaka 14 ni Sh50, huku...
View ArticleNews Alert: RC Arusha Magesa azidi kuteswa na MSULI wa SPORA LIANA
Binafsi nianze kwa kumpongeza mama Spora Liana ambaye ndiye Mkurugenzi mpya wa jiji la Arusha. Pongezi hizi kimsingi zinafuatana na taarifa aliyoitoa mama huyu jana kwa vyombo vya habari hususan...
View ArticleKenyatta insists Asia visits were not a 'snub to Washington'
President Uhuru Kenyatta enjoyed a productive visit to Moscow, China and Dubai, resulting in lucrative investments, however the United States media perceived it as a snub. Kenyatta insists Asia visits...
View ArticleSerikali yaruhusu tena mihadhara ya dini iliyokuwa imepigwa marufuku
MIHADHARA ya dini iliyokuwa imepigwa marufuku na Serikali imeruhusiwa kuendelea kwa masharti ya kutojihusisha na mahubiri yanayolenga kupandikiza chuki miongoni mwa Wakristo na Waislamu. Serikali pia...
View Article