Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live

Tanzania yapanda katika viwango vya rushwa na ufisadi duniani! Yazipiku...

Heshima kwenu wadau. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya nne mpaka ya tatu duniani katika viwango vya rushwa na ufisadi wa mali ya umma, Tanzania imezipiku baadhi ya nchi za Afrika katika ufisadi wa...

View Article


CLAUDS FM Miaka 14

Happy birth day Clauds fm leo hii, Endeleeni kuelimisha na kuburudisha jamii. Yapo mengi mazuri mmeyafanya ktk taifa. HONGERENI

View Article


Baada ya Kibanda:POLISI wajeruhi Mwandishi Mwingine wa Habari

WANAJAMVI: KUNDI la Askari polisi wapatao 10 wa kituo kikuu cha Polisi Geita wamemjeruhi vibaya Mwandishi wa Habari wa Redio Free Afrika Mkoani Geita Salum Maige baada ya kumshambulia kwa magumi na...

View Article

MSAADA:nina aleji na simu za tachi screen.

Jamani mi napenda sana smartphone tachi screen lakini kwangu ni tatizo.Tatizo langu ni kuwa ninapoandika kwa ncha za vidole nahisi moto,nikamaliza kuandika kama ni sms kidole utadhani nimeungua na...

View Article

Mume wa mtu afia nyumba ya wageni(guest house) akiwa na mke wa mtu wakivunja...

Heshima kwenu wadau. Mume wa mtu aliyejulikana kwa jina moja la Kayange mkazi wa Mbezi magari saba amefia gesti akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Naomi naye mkazi wa Mbezi jijini Dar es...

View Article


Kiwanda cha sabuni za mche

HABARI ZENU WANA JF. Namshukuru Mungu kwa mawazo yenu ya kuhusu sabuni nami nameingia kwenye hiyo biashara kuanza hatua za mwanzo kabisa kuwenda kumuona supply wa mashine kupata bei na kuweka order...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Toyota Progres going for cheap!

Nauza Toyote Progres NC250 Colour: Silver mileage: 112000km YOM: 2001 Condition: Very good and running. Maintenance: Done as per OEM Nimelinunua 2011 na sasa naona ni wakati mzuri nikabadili gari Bei:...

View Article

Fundi Computer

Kama unatatizo na unahitaji fundi computer aje ulipo basi nipigie.pia nauza vifaa vya computet kama; laptop adapter laptop screen laptop batry ram memory external hdd internal hdd window install...

View Article


Instruction for DIABETES treatment.

Reduce carbohydrates. One apple before going to bed (important). Take resveratrol (Is to be found in red grapes) use garlic ( do not heat ) Eat Leek to one meal every day. Avoid proteins. No...

View Article


Aibu kwa bunge, hivi kweli hawajui wimbo wa taifa wanaweka CD kweli?

Naona bungeni wabunge wanawekewa CD ikiimba wimbo wa taifa na wabunge wamefumba midomo, hivi kweli inamaana wabunge hawawezi kuimba wimbo wa taifa????

View Article

News Alert: Midege ya jeshi inayozunguka angani

Heshima kwenu waungwana, kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija...

View Article

An official member of chadema

Effective from yesterday, I Sangarara, became an active registered Member of CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO,this is an accomplishment of the decision I had made since september this year. Kindly...

View Article

Kazi - TFF

Commercial Manager at Tanzania Football Federation Tanzania Football Federation is Football Organization registered in the United Republic of Tanzania under the National Sports Council Act of 1967 as...

View Article


TUNDU LISSU: Watanzania wanaoogopa mapigano bungeni ni washamba.

“Watanzania kunaogopa wabunge kupigana kwenye vikao vya bunge ni ushamba” hayo alisema Mwanasheria mkuu wa Chadema wakati alipohojiwa na mtangazaji wa Star TV wakati alipowasili mjini Dodoma jana...

View Article

Man u wenzangu vipi, december ndo hiyooooooo inapita.

Mimi ni shabiki la mashetani wekundu, enzi za babu tulikuwa tukijua hata kama tuanze vibaya vipi ukifika mwezi wa december tayari tunakuwa tushaanza kuichukua nafasi yetu, x-mas na mwaka mpya tulikuwa...

View Article


Mwenza wa kuchaguliwa na wazazi vs wakujichagulia mwenyewe

Habarini wapendwa, ------------------- kama ilivyokawaida kwa vijana wawapo sehemu siku za wikiend huwa kuna maada zinaibuliwa kwa sisi wanaume maada za michezo,siasa na mapenz hazikosekani katika...

View Article

Hatutaunga mkono udhaifu wa CHADEMA

KATIKA kuendeleza jitihada za kukuza wigo wa demokrasia nchini, kwa upande wangu, sitaweza kuunga mkono udhaifu unaoweza kujitokeza ndani ya chama au vyama vya siasa IKIWEMO CHADEMA. Udhaifu huu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

One World Futbol For A Good Cause

The One World Futbol is a nearly indestructible ball that never needs a pump and never goes flat—even when punctured multiple times. Whether for use on the street, at the beach, at home or on the...

View Article

News Alert: Maajabu ya Supu Ya Pweza

Wadau poleni!Nisiwe muongeaji sana nataka kuuliza hivi hii supu ya pweza mbona imekuja kuwa maarufu sana hapa mjini mpaka vijana wanaigombania?Kwan kuna kitu gan hasa kwenye supu hii?Je inavirubisho...

View Article

Vazi la Kimasai

Arusha : wengine walikatazwa kuingia kwenye mahoteli na hata maofisini kisa vazi la Kimasai. DAR: getini kwa mkuu wa wilaya ya Temeke amezuiwa kijana wetu kisa kavaa Kimasai eti vazi la kijinga by...

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>