Ujumbe Toka Mtwara: Mambo Bado. Pinda Jibu Hoja Zetu
Mh.Mizengo Pinda, ulikimbia maswali ya wana mtwara,ambayo wangekuuliza kwa kisingizio kuwa ulikuwa unakimbia bungeni. Kwa ustaarabu bwana Uledi Abdala mwenyekiti alitaka kukuuliza maswali yafuatayo kwa...
View ArticleDSTV wana ving'amuzi elfu 5 kwa mwezi
Vinauzwa posta 48 elfu tu unatazama ligi zote maarufu na local zote
View ArticleNews Alert: 'You're coming here and pleading poverty while we're paying taxes
https://www.youtube.com/watch?v=-FZssTAeOw4 'You're coming here and pleading poverty while we're paying taxes': Shocking rant of woman against foreign students in hospital waiting room caught on mobile...
View ArticleMwana wa Juma Bhalo na wimbo - BEENA
Mwana wa Juma Bhalo amwobea afiya na uzima BEENA, hakika wimbo unagusa hisia ukiwa unamtakia afiya njema mtu anayekabiliwa na matatizo. Kwa kweli mistari ya Mwanabhalo imekamilika pengine wasanii...
View ArticleMagonjwa ya moyo (Cardiovascular Diseases)
Magonjwa ya moyo (Cardiovascular Diseases) yanaongoza, ambapo watu milioni 17.3 sawa na asilimia 30 ya vifo vyote duniani yalitokana na CVDs, inakadikiriwa watu milioni 25 kupoteza maisha kufika mwaka...
View ArticleUNLOCK VODACOM MODEM HUAWEI MODEL E 303s-2
Habarini wakuu naombeni msaada jinsi ya kuchakachua modem tajwa yenye IMEI 866452012466435. Natanguliza shukrani
View ArticleMJADALA NA Mwigulu Nchemba Pamoja Na Kingwangala
Hon: Kingwangala, I am cordially writing to thank you for your prompt and candid response in regards to my invite for a serious debate. First and foremost, allow me to set the record straight relative...
View ArticleTetesi: CHADEMA Kufanya Maandamano Makubwa ya Kuwapokea Wabunge wa Upinzani Dar
Kuna taarifa kuwa CHADEMA inatarajia kufanya Maandamano Makubwa ya kuwapokea Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni siku ya J2 jijini na Dar es Salaam na kufanya Mkutano Mkubwa wa hadhara katika viwanja...
View ArticleUnbelieveable but True: Man Bites Off Daughter's Ear
I have read about this man who picked a fight with his 17 year old daughter and ended up biting off her ears. He said that he did this to teach her a lesson so that she starts respecting him... Crazy...
View ArticleKamata yaukweli hii hapa safi sana
Model LG 900 carrier AT&T wireless Software window phone7 total storage 14.94gb Available storage 13.94gb Internet speed yakutosha 3G wi-fi connection IPO ktk hari nzuri inawiki3 tokea inunuliwe...
View ArticleUDSM ranks 6th postn among best Univ in Africa
..hizi ranking za "4icu.org University Web Ranking" ni kwa minajili ya WEB VISIBILITY/WEB METRICS..kwa wasomi wameelewa!
View ArticleMsaada kuhusu mafao ya NSSF..
Habari zenu wana jamii? Naombeni mnisaidie mawazo, nina jamaa yangu mmoja alikuwa akifanya kazi katika kampuni flani hapa mjini (DSM) zaidi ya miaka 10. Ila ameacha kazi na hakuwa kwenye good terms na...
View ArticleKulikoni treni ya Mwakyembe?
Leo asubuhi nilikuwemo kwenye treni inayotambulika sana hapa jijini Dar, kama treni ya Mwakyembe, ambapo treni hiyo iliondoka kituo cha mwisho cha Ubungo maziwa saa 3 asubuhi badala ya saa 2.30 kama...
View Articlesoldiers hata kupika mnapika kisoldier?
Du!hata kama nizege kama unaroho nyepes huwez kula, Cheki zege la kisoldier Attached Thumbnails
View ArticleMsaada; Hata nikitumia internet cable kwenye desktop inagoma kuunga na internet
Wakuu naombeni msaada juu ya title hiyo napata tabu sana manake inanilazimu kutumia modem wakati kuna TTCL Broadband Nawasilisha
View ArticleSide Comments: Mjadala wa John Mashaka, Mwigulu na Kingwangala
Kama nilivyopendekeza tuwaachie kule hao watatu; John Mashaka, Mwigulu Nchemba na Hamis Kigwangwala ili wachangie , halafu hapa ndiyo iwepo side thread inayozungumzia yale wanayojadili. Lengo ni...
View ArticleWalezi wa ccm mikoani.
Ni utaratibu Chama Cha Mapinduzi waliojiwekea kuwa na walezi wa chama mikoani, sifahamu haswa dhumuni na majukumu yake (mie si mwanasiasa). Hoja yangu hapa ni kufahamishwa ni walezi wangapi...
View ArticlePICHA: Rais Jakaya Kikwete Amjulia Hali Mzee Msuya...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu mstaafu,Mzee David Cleopa Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana jioni (picha Rashid Ngurungu-Ikulu)
View ArticleNi kweli mwanamke akielimika..........
Ni kawaida kwa mwanamke mwenye elimu kubwa ya darasani kiasi cha kuajiriwa kukuta ni mwajiriwa au mjasiriamali. Sasa kwakuwa ni mtafutaji,anakuwa busy na kumweka h.g amlelee mtoto. H.g ni std 4...
View Article