Dedication for all JF walio na mapenzi ya kweli kwa wenzi wao
Leo siku nzima wimbo huu wa DOGO DITO - TUSHUKURU KWA YOTE, umekuwa unaring on my mind word by word. Nikaona kweli kuna haja ya kumshukuru Mungu kwa wenzi wetu, whether ni mke, mume, mchumba, rafiki wa...
View ArticleMIXER KUBWA YA KUKANDIA UNGA (3 phase)
Mixer iliyotumika Uingereza kubwa kiasi labda kutosheleza kiroba cha unga inauzwa milioni 3.5.Ipo dukani Ilala na kwa maelezo zaidi au kuiona tafadhali piga namba hizi...0773027777 au 0717810318...
View ArticleKama wewe ndio mme wake......!
Ni stori ya kweli. Mkeo ni mjamzito wa miezi nane amekuaga anaenda kwa nduguzake, wewe ukabaki home umepumzika baadae ukiwa unasikiliza redio unamsikia mkeo live kwenye redio anabishana na wanaume...
View ArticleJVC GY-DV5000E POFESSIONAL DIGITAL CAMERA (For media,movie e.t.c)
Hii ni moja ya Camera ambayo inasifika na hutumika sana hasa wanaoendesha shughuli za habari kwenye studio's.Quality picture yake ni nzuri sana.Nitawaletea spec's zake baadae na ipo njiani kutokea...
View ArticleKwanini viongozi wengi wa ccm wamebeba matumbo makubwa??
Katika tafiti zangu nilizozifanya kupitia kutazama kwa macho yangu juu ya maumbile ya miili ya viongozi wengi wa ccm nimebaini kuwa asilimia tisini na tisa point tisa ya viongozi hao ni wanene na...
View ArticleChadema itakufa kwa sababu hizi, sio propaganda
Hizi propaganda za sasa za CCM haziwezi kuiuwa CHADEMA. wacha CCM walalamike wenzao wamefunja makubaliano. BACKGROUND kiukweli ccm na CHADEMA wanajuwana sana acha leo waanze kuumbuwana kwa lile sakata...
View ArticleKukumbushana kupo kusikilizana hakuko jamani kila lililo na mwanzo halikosi...
Kukumbushana jamani kupo tujiandae kwa hii safari jamani kwa kufanya mema ili tuweze kuingi kwenye uzima wa milele peponi Mwenyeezi Mungu atujalie tuweze kuingia Peponi ameen. Munisamehe kwa wale...
View Articleam sorry you teens
i thank god i did the following 1. I lived 2 decades(1990-2012) 2. I survived 2 centuries(1900-2000) 3.i have seen 2 millenium(1000-2000)...happy twenties.,..we rock ...
View ArticleTetesi: Mike Tyson abadilisha jinsia - kuwekewa ya kike na jina lake sasa ni...
Mike Tyson sasa ataitwa Michelle: bingwa wa ndondi wa zamani anadaiwa kubadilisha jinsia yake kutoka ya kiume na kuwa ya kike, inadaiwa kuwa tayari ameishafanyiwa upasuaji katika hospitali moja huko...
View ArticleWHO OWNS BoT??????
Je, unataka kujua ukweli juu ya BoT? Soma maelezo kwenye Blog la Zanzibar Ni Kwetu kama yalivyoandikwa na Mhe Juma Duni Haji. Ni maelezo mengi na hayawezekani kuwekwa yote hapa. Visit the Blog and read...
View ArticleCha Chandu Chadu Kajipalia Makaa
iGotYa App Sends Pic To Stolen iPhone's Owner Sky News 5 hours ago GotYa App Sends Pic To Stolen iPhone's Owner A woman has unwittingly taken her own picture as she attempted to unlock a stolen...
View ArticlePicha ya Watoto wa baba wa taifa na majina yao
Wanabodi!Ninaomba mnisaidie picha ya pamoja ya watoto wa baba wa taifa na majina yao tafadhalini sana.Mbarikiwe!
View ArticleAdila Adoyo anapata USD$6,000-USD$7,500kwa kufanyia kazi nyumbani.
Ni mwanamke anayeishi Dar es salaam-Tanzania na kuweza kupata dola kwa mwezi USD$6,000-USD$7,500 Hebu msome hapa Work At Home Special Report! Hongera Adila!!
View ArticleIdadi kubwa ya majina katika phone book ya simu yako yanaanzia na herufi 'M'
Fanya utafiti katika phone book ya simu yako utagundua ukweli huu.
View ArticleMke mwema anatakiwa haraka(mwenye utayari)
Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa nchini umri wangu ni miaka 28.Natafuta mchumba wa kuoa umri kuanzia 23-28,ambaye tutafahamiana na baadaye kuishi pamoja.Asiwe na mtoto,awe hajawahi...
View ArticleNatafuta kazi ya utafiti iwe interviewer au supervisor.
Habari zenu wanajukwaa?mimi nina utaalamu wa kufanya kazi za utafiti na nimewahi kufanya maeneo yote mjini na vijijini,natafuta kazi,Ahsanteni.
View Articledereva mwaminifu waa malori anahitajika
Natafuta dereva mwaminifu wa malori mwenye uzoefu wa miaka 10+ naa safari ndefu zaa nchi zaa nje, umri miaka 40 na kuendelea, kwa kuendesha lori moja yaa mtu binafsi, Lazima awe naa wadhamini wawili wa...
View ArticleMALIASILI: Dr Kilahama amestaafu, aondoke
TAREHE 12/12/2012 ndio siku ya kustaafu mkurugenzi wa misitu na nyuki, bwana Felician Kilahama, lakini mtu huyu bado anaokena kuhaha aongezewe muda ili aendelee kuvuruga zaidi ikiwemo vibali feki vya...
View Article