Leo mida ya jioni narudi
kutoka kazin, nimefika
Mwenge nasubiria usafiri
kwenda Tegeta, mfukoni
nina Tshs 900/= tu
>> Coins 2 za 200/= >> Noti ya 500/=
Nikawa nimepanga zangu
kwamba, kutoka Mwenge -
Tegeta nalipa 300/= then
500/= nachukua...
↧