Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live

Waziri wa Mawasiliano: Wanaotumia vibaya simu, mitandao ya kijamii kukiona

Image: http://t3.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcS4Yftsvnlfz0tnM9OlnrtmDlbx-ql9Zie6FAy-C35L9KoOn4iV Written by Ashakh (Kiongozi) (http://mzalendo.net/author/ashakh) // 08/04/2013 / SERIKALI imesema...

View Article


Chaguzi mabaraza ya katiba; nimeshindwa na anayejua kusoma na kuandika...

*Wakuu habari, * Wiki iliyopita niligombea nafasi ya kuwa mjumbe wa baraza la katiba, wilaya ya ilala katika mtaa wangu nikashinda kwa kishindo – nilikuwa wa kwanza katika kundi langu – kundi la wote....

View Article


Kwa nini nimeuzia Ushuru wa Soko la Kilombero-Nanyaro Diwani wa Levolosi

SAKATA LA USHURU WA SOKO LA KILOMBERO Halimashauri ilitoa zabuni ya kukusanya ushuru kabla wa soko la Kilombero,wakala huyo alishindwa kuendelea na kazi baada ya kuomba apunguziwe kiwango alichokuwa...

View Article

Hakuna malaria lakini ana joto

Mwanangu ana miezi 11.Anachemka na kuharisha tumepima malaria hakuna.Atakuwa ana tatizo gani?

View Article

Tetesi: chadema Arusha yaingia kwenye mabaraza ya katiba kwa kutumia jina la CCM

CCM walikuwa wamejipanga kuwafutilia mbali wanachadema wote walioomba uwakilishi kwenye mabaraza ya katiba. Mkakati wa wagombea wa chadema ikawa ni kujitambulisha kuwa wao ni wana CCM. Mmoja wao ni...

View Article


Tetesi: Hongereni walimu, mishahara juuu!

Nimetumiwa msg ktk simu yangu inasema, "Tetesi kutoka kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya walimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS...

View Article

HII NI KWA WANAUME WA UKWELI WANAOTUMIA DUME!!. Hivi,,,, HUU NI UGONJWA AU...

Mwanaume anamwambia mpenz wake, kwamba hataki kusex kwa kutumia KONDOM! na mwanamke anataka kondom itumike. TATIZO liko apa: wakiwa kitandani, mwanaume anasimamisha vizuri, tayal kwa kusex! Ila...

View Article

WANAWAKE WAKITANGA WAKOJe

Habari zenu wanajamiiforums nimetokea kumpenda binti wa kitanga naombeni mnijuze tabia zao na mila na desturi zao zikoje nataka nifunge nae pingu ya maisha. Naomba msaada wenu Natanguliza shukrani.

View Article


Star TV wamenikosha sana!

Nimetoka kusikiliza kipindi cha comedy cha pikabom wanaipa makavu sana serikali. Leo wamesema viongozi wetu wamefoji vyeti. Nijuavyo tz ukisema ukweli unaonekana mbaya. Hivyo natabiri kufungiwa kwa...

View Article


News Alert: Jamani, Wanahabari Magwiji,Wanahabari za SIASA ya Tz,...

Wanajamvi heshima kwenu fikra huru ndo utamtambua mtu. Nimekuwa katika tafakari wakati wa pasaka nikatambua Yesu alikubali alichokiamini na kweli yake kwa watawala wa Kirumi imgarimu kiasi cha mateso...

View Article

Vyama vya Wachimbaji madini wadogo

Ndugu zangu Watanzania Naomba msaada wa kujua vyama vya wachimbaji madini wadogo wadogo (Association of small scale mines), hata kama hujui vyama vyao ila kama kuna eneo lenye wachimbaji wadogo naomba...

View Article

Ni dharau au ndio maringo

Habari za usiku wanajamvi Hua na choshwa na baadhi ya tabia ya ndugu zetu. Mimi nilialikwa kwenye kikao kimoja cha harusi ya mtoto wa mama mkubwa na niliweza kuhudhuria vyema sasa kikao kilichofata...

View Article

Digsby "All in 1" IM, Email & Social Networks

Digsby ni app nzuri sana ya pc inakuruhusu kuconnect account zako za email, IM(Instant Messaging) na social networks kwa pamoja. *E-Mail:* hapa utapata notification ya email muda inapoingia(lakini sio...

View Article


NLiChOkIfAnYa mWeNgE sTaNd LEo...{TOA MAONI YAKO}

Leo mida ya jioni narudi kutoka kazin, nimefika Mwenge nasubiria usafiri kwenda Tegeta, mfukoni nina Tshs 900/= tu >> Coins 2 za 200/= >> Noti ya 500/= Nikawa nimepanga zangu kwamba, kutoka...

View Article

Mheshimiwa mbowe: Swali kwa waziri mkuu alhamisi ni hili!

Swala la kuchinja ni suala zito sana ambalo serikali yetu imeshindwa kulitolea tamko, ni jambo la kushangaza hata Rais wetu Jk alishindwa kulizungumza kama raisi, bali aliliongea kama raia wa kawaida...

View Article


Problem with Picture Quality in SG2

It seems like all of my pictures have been turning out grainy and washed out. The lights in my pictures are always too bright. I'm also having issues with the camera focusing, sometimes when I point it...

View Article

Wanaume kazi kwenu(bachelors)!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!

*Many men are never taught how to talk to women. Because of this many guys go through life without the ability to attract a woman. Here are 15 tips to help make sure you aren’t making mistakes with the...

View Article


Forum: mapenzi

Nafurahi sana kujiunga Jamii forum naomba mnipokee

View Article

Bilioni 40 ya mradi wa umeme Mtwara haijulikani ilipo

Mwaka jana Serikali kupitia waziri wake wa nishati ilitangaza kuwa imetenga bilioni 40 kwa ajiri ya kusambaza umeme mkoani mtwara mradi ambao ulitakiwa kukamilika mwezi Desemba. Ilipofika Novemba mwaka...

View Article

Kampuni za simu zalipa bil. 64/- kwa miaka 5

Kampuni za simu zalipa bil. 64/- kwa miaka 5 : KAMPUNI za simu kwa miaka mitano zimelipa jumla ya Sh bilioni 64 kama kodi ya kampuni hadi kufikia mwaka 2010 huku uwekezaji wa kampuni hizo ukiwa...

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>