Swala la kuchinja ni suala zito sana ambalo serikali yetu imeshindwa kulitolea tamko, ni jambo la kushangaza hata Rais wetu Jk alishindwa kulizungumza kama raisi, bali aliliongea kama raia wa kawaida kabisa. Ni kitu cha kushangaza sana serikali...
↧