Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Mtoto tangu kuzaliwa mpaka sasa miaka 6, ana kitambi kidogo.

$
0
0
Jamani, nina mtoto wa best wangu ana umri wa miaka 6, ila tangu kuzaliwa (makuzi) alitoka kijitambi kidogo.
Cha ajabu mpaka sasa ana miaka 6 bado ana kitumbo kilichotokeza.
Hata kama hajala.
Ana afya nzuri tu ila hko kijitambi.

Jamani, ni nini hiki?
Tiba ni nini?
Riwa, Lasikoki na MziziMkavu...naombeni ufafanuzi.
Alamsiki.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>