Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

News Alert: Wamalawi wasiopungua hamsini wakamatwa dsm

$
0
0
Watanzania waungana na kuacha tofauti zao za dini siasa na kabila haya nimeyashuhudia maeneo ya kawe baada ya watz kuwasaka wanyasa sehemu zote walipo na kuwakabidhi maafisa wa uhamiaji na polisi waliokwenda kufanya kazi hiyo.hivyo wanyasa wacongo na wachina walikamatwa na raia wenyewe na kuwapeleka mikononi mwa dola. Sasa watz wameamka na kweli sote ni ndugu na tunalipenda taifa letu na tuko tayari kulinda.hongereni sana wakazi wa wilaya ya kinondoni kwa uzalendo wenu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>