Nimeamua kutopiga "KURA" tena katika maisha Yangu yote
Baada ya kushuhudia kilichotokea Bungeni juzi nimeamua kutopiga kura tena ktk maisha Yangu yote. Sababu nimeshagundua kumbe it does not matter "Who votes the votes But Who counts the votes" am very dis...
View ArticleNafasi lukuki za ajira, kuwa wakwanza kuzipata
Kijiwe Cha Wasomi ni blog ambayo hujihusisha katika kutangaza nafasi za ajira, kutoa habari za kielimu, teknolojia na makala mbalimbali. Kama msomi unashauriwa kutembelea blog hii kila siku. Pia...
View ArticleMtoto tangu kuzaliwa mpaka sasa miaka 6, ana kitambi kidogo.
Jamani, nina mtoto wa best wangu ana umri wa miaka 6, ila tangu kuzaliwa (makuzi) alitoka kijitambi kidogo. Cha ajabu mpaka sasa ana miaka 6 bado ana kitumbo kilichotokeza. Hata kama hajala. Ana afya...
View ArticleNews Alert: Wamalawi wasiopungua hamsini wakamatwa dsm
Watanzania waungana na kuacha tofauti zao za dini siasa na kabila haya nimeyashuhudia maeneo ya kawe baada ya watz kuwasaka wanyasa sehemu zote walipo na kuwakabidhi maafisa wa uhamiaji na polisi...
View ArticleNingelikuwa mimi kiongozi ningeliweka daraja kama hili kigamboni mnasemaje?
Watu weupe wanakwenda mbele tu wala hawarudi nyuma. Sisi Wa-Afrika tunauwana kwa uchawi na mtu akiiba kuku tunamuuwa njaa tupu sis Wa-Afrika hatuna Maendeleo yoyote yale.
View ArticleMuongo Vs. Mengi. Kimenuka !
Muhongo ataleta machafuko humu nchini na kauli zake chafu za uropokaji...........Anadai hawezi kuongea na watanzania kwenye mambo ya uwekezaji kwenye gesi kwa sababu watakuwa wanapoteza muda...
View Articleukitaka kura nyingi za wananchi njoo na sera za sembe
Ukitaka upewe kura chama chako toa kauli kama utauondosha mtandao wa sembe tanzania na watu wote utawapeleka jela kwenye ile list ilokuwepo ikulu hapo utapata kura nyingi sana na kushika dola
View ArticleWatanzania msaidieni huyu kijana ana ugonjwa ndani ya moyo jamani msaada...
​ Kufuatia kichwa cha habari kilichopo hapo juu, nachukua fursa hii kutoa Historia fupi ya Kijana huyu anako toka na jinsi ugonjwa alionao ulivyo gundulika mpaka hivi sasa.Zuberi Mgeni Zuberi...
View ArticleYuko wapi Ibrahim Hassan a.k.a Ibra Poza
Miaka kama kumi iliyopita au zaidi, kulikuwa na mwandishi mahiri sana wa habari za michezo aliyejulikana kwa jina la Ibrahim Hassan almaarufu kama Ibra Poza. Huyu bwana alikuwa anaandika katika gazeti...
View ArticleIran threatens rape of Obama Daughter
(Daily Caller) As Congress debates whether to support President ObamaÂ’s call for a limited strike against Syria for the alleged use of chemical weapons, Iran is vowing to back Bashar al-AssadÂ’s regime...
View ArticleChild killed during Brotherhood attack on police station in Egypt
CAIRO, Sept. 6 (Xinhua) -- A six-year girl was shot dead while the Muslim Brotherhood, to which ousted president Mohamed Morsi is affiliated, attempted to break into a police station in the upper...
View ArticleGuyz anayejua kuhusu matokeo ya MOH!!!!
Jamani eeeeh naona awa jamaa wanaweka watu roho juu; Anayejua kuhusu matokeo ya Ministry of Health and Social Welfare ebu anisaidie info alizonazo.!!!:help::help::help :
View ArticleTasaf shortlist
WADAU NAOMBA KUJUZWA TASAF WAMESHAITA WATU KWENYE INTERVIEW FOR THOSE POST OF PAA-TECHNICAL ASSISTANT MONITORING OFFICER???Nawasilisha
View ArticleCNN Exclusive: Videos show glimpse into evidence for Syria intervention
(CNN) -- Men sprawled on a tile floor, shirtless and convulsing. Children, too, seemingly unable to control their shaking and flailing. Panic and screams in the background. These are some of the...
View ArticleWabunge wa ccm mnamwakilisha nani!
Ninaumia sana Pale mtu unaye Mtegemea na kumwamini akafanya tofauti na matarajio yako,ni hivi Wabunge ndio watu tulio wachagua ili watuwakilishe Bungeni (MJENGONI). kwa maana hiyo Mbunge ni Mwakilishi...
View Articlemsaada kuhusu RAM kwenye simu
Natumia simu ya tecno l3 yenye ram 512mb sasa tatizo lililopo ni kwamba running applications zinakuwa nyingi kiasi cha kuchukua sehemu kubwa ya ram jambo linalopelekea simu kuwa slow kwa nyakati...
View ArticleNews Alert: Je ufisadi ni laana au bahati?
Kimazabe mazabe tu mimi mtoto wa kapuku au kabwela ambae hana jina hapo bongo nami nimejikuta niko hapa Marekani ambako naishi kwasasa, nina kama miezi sita tu , sijaja huku kwa zile nafasi za baadhi...
View ArticleMeli ya Tanzania yakamatwa na madawa ya kulevya Italia.
MELLI iliyosajiliwa nchini Tanzania ya MV Gold Star juzi Ijumaa imekamatwa nchini Italia ikiwa na dawa za kulevya zenye thamani ya pauni milioni 50 sawa na shilingi bilioni 126. 5. Watuhumiwa waliokuwa...
View ArticlePango la chuo: Mbeya Mjini.
Kuna mtu wa Dar anatafuta pango la jengo kubwa la chuo Mbeya katikati ya mji, au forest au mwanjelwa. Ikiwa hata ghorofani ni sawa tu. Kama kuna mtu anajengo hilo tuwasiliane.
View ArticleOperesheni KIMBUNGA yaanza rasmi .
Na Theonestina Juma, KAGERA OPERESHENI kimbunga ya kuwarejesha wahamiaji haramu makwao katika Mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma imeanza rasmi ambapo ndani ya siku mbili tu, wahamiaji hamu 1851 na...
View Article