Ni askari polisi wawili mkoani Ruvuma wamejeruhiwa vibaya baada ya kulipuliwa kwa bomu wakiwa doria. Kwasasa wanasubiri upasuaji wakiendelea vyema. Wamelipuliwa kwa böu eneo la Matarawe Songea.
Chanzo:Radio One
Chanzo:Radio One