Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

News Alert: Kuna nininkatika benki ya twiga bancorp?

$
0
0
Mimi nafutilia kwa karibu sana utendaji kazi wa benki zenye sura halisi za kitanzania kwani ni unauhakika faida itayopatikana haitoki nje kama mabenki mengine.Kwa siku za karibuni baadhi ya huduma hii benki imeshindwa kuzifanya.Kwa anayefahamu kuna tatizo ganikatika benki yetu hii kipenzi si matawi ya Dar,Arusha au Mwanzabaadhi ya huduma zimesimamishwa kwa muda mrefu sasa.Au mmeruhusu wana siasa wetu kujichotea pesa nyingi wakashindwa kurejesha?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>