Hivi huyu Jaja jojo juju aliyesabisha kelele mpaka watu hawalali alifika kweli Moro au alikwamia Chalinze??!! Mkiambiwa muache kelele za jaja na ninyi mnaleta ubishi mtapigwa tu. na mimi nasema mpigwe tu ... hakuna namna maana sasa tumechoka!
↧