Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live
↧

Mwalimu Nyerere alivyosema kuhusu Serikali Tatu

Juzi nilisoma waraka wa Mzee Mwanakijiji akituhimiza tupinge Serikali Tatu. Baada ya kuperuzi kitabu cha Mwalimu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania, nimegota kwenye ukurasa wenye maneno haya:...

View Article


Yajue Madhara ya AC. (Air Conditioning System)

Haya sasa wale wapenzi wa AC , utamu wake huu hapa. Chooni AC gari Ac, ofisini Ac.. "Spending most of the time in AC environment could lead to lower immunity because, lack of free supply of oxygen...

View Article


Upotoshaji-Hawa hawaruhusiwi na Rasimu

Leo,umeanza upotoshaji kuwa eti Marais wa zamani wa Tanzania,Ali Hassan Mwinyi na Benjamini Mkapa,kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wataruhusiwa kugombea urais wa...

View Article

Hatimaye nimejiunga nanyi!

Hodi! naomba kukaribishwa jamani wanajamii!

View Article

Wana jf mwenzenu nina swali

Nawasalimu kwa umoja wana JF Kiukweli mm mwenzenu ni mgeni kwa hii jamii ila nimekua nikiona watu wanafaidika na kuelimishwa kupitia hili jamvi lenye upendo lenye mchanganyiko wa mawazo tofauti hivyo...

View Article


BAJAJ... Bajaj... BAJAJ... Bajaj!!

Short and Clear: siku hizi mimi ni dreva bajaj. Ila sina bajaj(deiwaka). Ombi: mwenye chombo halafu hana dreva naomba anipe hyo chance. Nipo Dar mbezi ya Kimara. Sifa zangu: nina uzoefu wa kama mwaka...

View Article

umri sahihi wa mwanaume kuoa mke bora

mimi ni kijana wa miaka 27, lakini nilifanikiwa kumaliza chuo mapema na kuanza maisha, wazazi wangu wanamaisha ya kawaida ila walinipa elimu ya kutosha pia naishukuru serikali kupitia bodi ya mikopo...

View Article

Msaada Mwenye key ya kaspersky 2013

Wandugu mwenye key ya kaspersky 2013 naombeni msaada nimefulia Cc NasDaz Paje MziziMkavu

View Article


News Alert: Rasimu yamtosa dr slaa kiana 2015; makamanda amkeni

Kwa jinsi rasimu ilivyo ni kuwa DR Slaa anakosa sifa ya kugombea urais kwa vile hana shahada ya chuo kikuu kinachotambulika duniani . Rejea: Rasimu: Sifa za rais kifungu cha 75 (f). Huu si mpango wa...

View Article


Chezeya Pesa weye!!!!

Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station. "Naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7,ATM Card na karatasi yenye PIN ya ATM Card na...

View Article

News Alert: simon

Kwa nini tuwe na TSHS na kwa nini tuitukuze USD?

View Article

Hoja dhaifu juu ya sera ya majimbo na mustakabali wa taifa

Zipo hoja kuu mbili kupinga utawala wa majimbo: Mfumo wa majimbo utakuza ukabila na ukandaMfumo wa majimbo utaongeza gharama za uendeshaji Kabla ya kujadili hoja hizi, kuna mambo makuu mawili ya msingi...

View Article

Je rais anaweza kutenda kosa la uhaini?

Naomba jibu wanajamvi?

View Article


Tunafanya Installation za TV Channel

Kwa wale wenye Guest house,Mahotel,Kambi na wanaohitaji kusambaziwa channel tuwasiliane kwa PM ni channel zozote uzitakazo wewe ziwe FTA au za kulipia. Bei ni nafuu sana. Aksanteni sana pia nakaribisha...

View Article

News Alert: Taarifa ya kifo mwenyekiti wa bawacha wilaya ya lushoto

Heshima Mkuu, Viongozi wa wilaya ya Lushoto wameshikwa na huzuni baada ya kumpoteza Kamanda Mama.Christina Magoha aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wilaya ya Lushoto. Kifo cha hiki cha ghafla...

View Article


Mauaji yaliyofanywa na polisi Tarime

Naomba kujua yale mauaji yaliyofanywa na jeshi la polisi tanzania kuua mtoto mdogo huko tarime akitokea dukani alikotumwa ,issue imeishaishaje?na ile ya polisi(traffic) kujiua kituoni hukohuko tarime...

View Article

Nini dawa ya kuacha kukojoa kitandani?

Ndugu wana jf naomba mnijuze dawa ya kuacha kukojoa kitandani kwa binti wa miaka 10. kusema kweli imekuwa kero na aibu tafadhalini nisaidieni.

View Article


News Alert: Lowasa; Serikali iwawezeshe wanawake kiuchumi

Lowassa: Serikali iwawezeshe wanawake kiuchumi Dodoma. Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, amesema kuna haja kwa taifa kuwawezesha wanawake kiuchumi kwa kuzingatia mchango wao mkubwa katika...

View Article

Trafic watatu wagongwa na gari dogo Arusha

Muda mfupi uliopita kwenye saa 7:30 mchana askari wa usalama Barabarani( traffic) watatu pamoja dereva wa daladala wamegongwa vibaya na gari katika eneo la kanisani opposite na jengo jipya la...

View Article

News Alert: Mgombea udiwan wa CHADEMA kata ya Kimandolu (Arusha) ni mpigakura...

Habari zilizothibitishwa na wafuatiliaji wa duru za siasa jijini Arusha zimebaini kuwa Ndg. Rayson E. Ngowi ambaye ni mgombea udiwan kata ya kimandolu, Arusha, kwa tiketi ya CHADEMA hayupo kwai daftar...

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>