Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

mabanda mengine ya kuku ya kisasa

habari wapiganaji wa kitanzania kwenye upande wa uchumi. sasa kuna post ya kwanza nilitoa mabanda machache tunayotengeneza. hivyo basi leo napenda kuwaonyesha sample nyingine ya mabanda...

View Article


A cpa holder looking for a job/volunteer

Habari wakuu,natafuta kazi/kujitolea kwenye fani ya uhasibu,ukaguzi wa mahesabu au masuala ya kodi.Napatikana dsm.Nina Adv.diploma ya uhasibu toka IFM na CPA(T). Sent from my BlackBerry 9800 using...

View Article


Mawaziri wa JK waliolazimishwa kujiuzulu kwa kashifa mbalimbali hakuna...

Tangu Raisi Kikwete aingie madarakani teyari kuna idadi kubwa ya mawaziri walioshinikizwa kujiuzulu au kulazimika kutemwa katika baraza la mawaziri kutokana na tuhuma mbalimbali zikiwemo wizi,ufisadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgodi wa Barrick wafikishwa mahakamani

Huwezi kuamini, lakini ndivyo ilivyo. Nimedokezwa Jana mkazi wa Nyamongo Tarime mkoani Mara, CHACHA KIGUHA BABERE aliupandisha mahakamani kwa mara ya kwanza uongozi wa mgodi wa Afrikan Barrick Gold...

View Article

Gay relations flourish in Saudi Arabia

Yasser, a 26-year-old artist, was taking me on an impromptu tour of his hometown of Jeddah, Saudi Arabia, on a sweltering September afternoon. The air conditioner of his dusty Honda battled the heat,...

View Article


Naombeni ushauri wadau hasa wanao hifaham course itwayo Agro-business.....

wana Jf na ndugu yangu amameliza form six, HGE..amepata H=D G=D E=D na Gs=F...anataka kusoma agro-business SUA, anaomba ushauri..je hii course ina lipa katika soko la ajira! je ataweza kupata kweli kwa...

View Article

Ajira za wazanzibari kwenye mambo yatakayoondolewa kwenye muungano vipi?

Nauliza tu maana nina utata. Kama tulikuwa hatuajiriwi Zanzibar kwenye mambo yaliyochini yao je Wazanzibari walioajiliwa kwenye mambo yaliyokuwa ya muungano zamani watarudi kwao? Nisadieni utata huu

View Article

Mke wa kuolewa anahitajika kwa wanaoishi dar tu

Mm ni mwajiriwa nahitaji mke wa kuoa kwa wanaoishi Dar tu umri wangu ni miaka 38 .Awe mkristo, rangi yeyote awe mrefu mwenye umbo zuri ,umri miaka 20-32,mwajiriwa au mfanyabiashara naomba ni PM haraka

View Article


Waziri cherles tizeba alikoroga uchaguzi udiwani lugata-kome

Ama kweli siasa ni mchezo mchafu. Eti Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba ameanza kumfanyia rafu mbaya za kisiasa kaka yake wa tumbo moja, Injinia Adriani Tizeba ili asishinde uchaguzi mdogo...

View Article


Bikini ban: Muslims make sarongs cover up bikinis in Miss World contest

A bikini ban going into effect during this year’s Miss World beauty competition is making some major controversy in the news this week. TNT Magazine reported this Thursday, June 6, that while it seems...

View Article

Umbea kwa wanaume asili yake wapi?? Faida yake nini?? Hii imekaaje?

Wanajanvi nashindwa kuelewa umbea kwa mwanaume inasababishwa na nini kwa kweli..mida si mirefu kuna dingi kanikuta nakula zangu fegi tartiiiibu akanisalimia fresh then kaenda kwa tajiri kumdokeza . Kwa...

View Article

News Alert: Dr Shein: I don't recognize reconciliation committee

Zanzibar president Dr Ali Mohmmed Shein has said he doesn’t recognize the self-styled reconciliation committee that is working on ensuring Zanzibar becomes a fully autonomous state. Dr Shein’s...

View Article

Mtikila,Marando,Lisu na wanasheria wengine jasiri: Peleka serikali Mahakamani!..

Kama Mtikila amekuwa akiiburuza serikali mahakamani kwa makosa mbalimbali na kuishinda, sasa nawaomba wanasheria hawa kuiburuza serikali mahakamani kwa makosa yafuatayo 1. Kutekwa kwa ulimboka na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

News Alert: Uranium extraction to start soon-Muhongo

Minister for Energy and Minerals, Prof. Sospeter Muhongo Despite a public outcry over potential harm that uranium might bring to the environment and people in the designated mining areas, the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

kwenu warembo

View Article


msaada: jinsi ya kuweka picha kwenye fb kwa kutumia uc browser

waungwana je naweza kuweka picha kwenye fb bila ku upload picha ambayo nimei save maanake nikiweka inakaa link ya picha niliyo copy wala haiwezi kukaa direct je nini nifanye ili ku weka direct bila ya...

View Article

(Germany) Muslim Mob Attacks Rabbi...

Islamic supremacists picking up where Hitler left off. "Group of teens attacks rabbi in Germany," by Benjamin Weinthal in the Jerusalem Post, June 5 (thanks to Pamela Geller):BERLIN – A group of youths...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

'Not Enough Executioners' to Service Demand in Saudi Arabia

Not enough executioners for Saudi Arabia's death row inmates Justice Ministers plans to add shooting to beheading as a method of execution; not out of compassion, but because the lack of executioners...

View Article

Hamas to Shut Down Remaining Christian Schools in Gaza...

From Catholic Herald: Five schools in Gaza – two Catholic and three Christian – face closure if the Hamas government follows through on an order forbidding co-educational institutions, according to the...

View Article

'kama ni muislam au mkristo naomba mnijulishe suala hili'

'Asili na maana ya majina haya,je unayafaham' 'Salaam...........natanguliza shukran kwa wote haya,kwa kifupi hii thread haihusiani na DINI yoyote haya ni mawazo binafsi tu kwa mifano na hoja. Haya...

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>