Kwanini Polisi wetu washangilie ujio wa wachunguzi wa Kichina hata kabla ya...
Leo asubuhi karibia vyombo vyote vya habari vimeandika juu ya ujio wa wachunguzi wa mambo ya milipuko na mabomu huko Arusha, wakitokea China. Kwangu binafsi nililipokea kwa furaha, lakini furaha yangu...
View ArticleHomosexual is a transitional process
Do you know that homosexual is a transitional process!..ANYONE WHO KNOWS ABOUT THIS PROCESS CAN GIVE US MORE ABOUT WHAT HE OR SHE KNOWS
View ArticlePlan International
Jamani hawa Plan international wanahusika na nn hasa na wako wapi?:sad::sad:
View ArticleBomoa bomoa
Kufuatia kupuuzia agizo la serikali au kuchelewa kufanyia kazi makubaliano leo sasa hv nimepita barabara ya kuelekea mwenge jengo la business park makumbusho lipo linabomolewa Watu ni wengi na kijiko...
View ArticleEffects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos
I Salute all MMU members!!!!! Habari zenyu wapendwa, hope mko vizuri kakitka kusaka shekeli, me too am fine, get well soon kwa wote wanaogonjweka. Ni hivi tangu niingie JF April 2011 ndo niliji...
View ArticlePhd ya obama kutoka open university.
Wanajamvi kwa wale wenye taarifa za kutosha naomba kufahamishwa ile phd ya heshima aliyopangiwa kupewa Rais obama alipewa? na kama hakupewa ni kwann? Kwa mwenye taarifa wadau tafadhali.
View ArticleNyama ya pori inapatikana wapi?
Wakuu kwa wale wakazi wa Dar natafuta nyama ya pori (swala,kongoni etc) kwa ajili ya kitoweo nyumbani kwangu. Natafuta iliyo mbichi au kavu nikaipike mwenyewe. Mwenye kujua asaidie tafadhali.
View ArticleKinachoendelea arusha
Vipi makamanda mliopo Mkoani Arusha hali ikoje? jana mlitujuza kuwa leo kutakuwa na maandamano ya madereva wa Noah yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa kushinikiza madereva hao kumkataa Mbunge G. lema kwa...
View ArticleKikombe cha babu kilinitenganisha na mpenzi wangu
Nakumbuka mwaka 2011 nilianza mahusiano na kijana mmoja hapa dsm. tukaanza kutembea kimwili kwani nilimuamini na nilimpenda alinitambulisha kwa wazazi ,marafiki zake na ndugu zake wote. tukiwa katika...
View ArticleMAAJABU YA DUNI; Mtoto wa Mwaka Mmoja Mwenye Mimba Awashangaza Madaktari...
JUL052013 MAAJABU YA DUNI; Mtoto wa Mwaka Mmoja Mwenye Mimba Awashangaza Madaktari China Madaktari wa nchini China walishangazwa kuona mtoto wa mwaka mmoja ana ujauzito.Mtoto Kang Mengru wa nchini...
View Articlemodemu inauzwa
wakuu nauza modem ya voda aina ya k3573-z, nimeichakachua waweza kutumia laini yoyote kwa anayehitaji anitafute hapa 0715304808.Bei ni tsh.25,000/=.ila haina kamfuniko ka mbele kama inavoonekana...
View ArticleSaid Bwanamdogo: Mbunge wetu wa jimbo la Chalinze...
Habarini wakuu, Awali ya yote ninapenda kujitambulisha kwenu kuwa, japo mimi ni mkazi wa Mbagala na kwetu ni Kusini (mikoa yenye gesi), ila nina maslahi na wilaya ya B'Moyo hasa katika jimbo la...
View ArticleVODACOM Stop Sucking Your Poor Esteemed Customers!!
Members, For how long are we going to be exploited? Vodacom is stealing people's money! Recharged airtime is swapped into tones costs without the so called esteemed customer's plea or consent! I had...
View ArticleBB 9790 for sale
BB 9790 for sale , mint condition, comes only phone Price 250,000 tshs only Inauzwa kwasababu nimepata simu nyingine Contact 0719946994 Attached Thumbnails
View ArticleNi Wapi Soko la Mbaazi Ntapata?
Nahitaji kuanza Kulima mbaazi huko Morogoro. Waungwana, naomba kujulishwa soko la uhakika ntapata wapi? Na je ni kweli viwanda vya kutengeneza biskuti vinanunua hzo mbaazi? Naomba kuwasilisha...
View ArticleKwa kawaida anaemtenda mwenzi wake, naye .................
Jamani ni kweli anae mtenda mke au mchumba wa mtu nae hutendwa...? nimekuwa katika tafiti ndogo ndogo za wanandoa na walio katika mahusiano. kitu cha kwanza nlichogundua katika wanandoa wengi hasa...
View ArticleDr. Mwakyembe anastahili kushtakiwa kama mhujumu uchumi
Ni Muda Mrefu sasa umepita Tangu lile saga la Richmond lifukute Bungeni ambalo lilipelekea kujihudhulu kwa aliyekuwa waziri mkuu wa Kipindi hicho ndugu Edward Lowassa. Ujio wa Rais Obama nchini...
View ArticleHakika leo nimemkumbuka mwigulu na kauli yake pale kimandolu
Ndugu wana jf leo nimekumbuka kauli ya Mwigulu Lameck Nchemba kwenye kampeni hapa Arusha, MSIPOICHAGUA CCM HAKIKA MTAKUFA; Ikumbukwe kuwa hii kauli haijawahi kukanushwa na huyu Mheshimiwa sasa je Watu...
View ArticleNews Alert: NATOA HOJA BINAFSI NDANI YA JUKWAA HILIi, (anayekubalii aseme...
WAKUU NDANI HABARI...... Nimekaa nikawaza sana siasa za arusha kiujumla, ikaniuma na nikapata hoja hii hapa TANGU mulongo kuingia arusha kwa kazi maalumu aliyotumwa na wakubwa zake ya kuua upinzani, ni...
View Article