Ukijaribu tu umepigwa ban
Unafikiri nakutania, Ukijaribu tu kumtukana yule jamaa wa magogoni humu jamvini umepigwa ban ukijaribu tu kumsema vibaya yule mwanzilishi wa m-pesa umepigwa ban ukijaribu tu ...........
View ArticleUnajua masnii rah p yuko wapi?
Fredinah Peyton a.k.a Rah P Fredinah Peyton a.k.a Rah P ni msanii wa Hip Hop wa kike kutoka Tanzania.Wengi walijiuliza kuwa dada huyo amepotelea wapi.Rah P yupo Marikani kwa sasa akifanya maisha yake...
View ArticleTusidanganywe kuwa nchi iko salama..
Kwa ufupi tu ni Kwamba JK hana uwezo wa kupigana vita sababu uchumi ndiyo kiashira kikubwa cha uwezo wa nchi vitani. Vikosi vya majeshi ndiyo tunavyo, na ari ya upiganaji wanayo. Sasa je, tuta kwenda...
View ArticleAl-Shaabab wafanikiwa kulipua jengo la makazi ya Waturuki...
Gari lililokuwa limesheheni milipuko lililipuka katika milango ya makazi ya Waturuki katika mkoa wa Hodan, lililoua mlinzi Mturuki na Msomali aliyekuwa karibu na hapo, na kuwajeruhi wengine wengi....
View ArticleUtawala Wa Kisultani Chini ya Kikwete Na CCM !
Rais Kikwete ameigeuza Tanzania kuwa nchi ya Kisultani ambayo watoto wa wenye madaraka kuzidi kupewa nafasi kubwa katika serikali na Chama. Rais Kikwete ndiye kiongozi mkuu wa nchi, ila kila mtu katika...
View ArticleSHEIKH MKUU: Misikiti inatumika majukwa ya siasa
Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu nchini (BAKWATA), Shaban Simba Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu nchini (BAKWATA), Shaban Simba, amekiri misikitini kutumika kama majukwaa ya kisiasa na baadhi ya...
View ArticleMdahalo a.k.a kiti moto
Mimi naomba kufikia mwaka wa uchaguzi mkuu ni LAZIMA mdahalo ufanyike tuwahoji wagombea wa kiti kikuu ili tuwajue mapemaaa uwezo wao kabla ya kuwachagua ili tusirudie makosa yaliyopita hatimae tukaweka...
View ArticleOnyo la Rais Dk. Kikwete liheshimiwe
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dk. Jakaya Kikwete amewahakikishia Watanzania kuwa, vikosi vya usalama nchini vipo tayari siku na saa yoyote kuhakikisha amani inadumishwa na...
View ArticleWanaoharibu elimu yetu wasifumbiwe macho
Katuni Katika toleo letu la jana Julai 25 ukurasa wa tano tulichapisha habari iliyokuwa na kichwa cha habari Wizara ya Elimu yahofia uchakachuaji kidato cha tatu. Katika habari hiyo Wizara ya Elimu...
View ArticleDk. Nchimbi atoa onyo Jeshi la Polisi kuhusu rushwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, amelionya Jeshi la Polisi tabia ya kubambikia kesi wananchi kwa lengo la kupewa rushwa. Waziri Nchimbi aliyasema hayo wakati akifunga mafunzo ya...
View ArticleTanesco yakabidhiwa kinu cha kupoza umeme
Mkurugenzi wa Tanesco, Felchesmi Mramba (wa tatu kushoto) na mwakilishi wa shirika la kimataifa la JICA, Yasunori Onishi.jijini Dar es Salaam jana. Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (Jica)...
View Article"hatumtambui tendwa kisiasa"......dk. Slaa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimengangania msimamo wake wa kutomtambua Msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa, hadi pale atakapoachia madaraka katika ofisi hiyo. Katibu mkuu wa...
View ArticleMazao ya mvua za vuli
wakuu wa jukwaa muhimu sana NImeulizwa swali na ndugu yangu mmoja Hivi ni mazao gani yanastawi msimu wa mvua za vuli kwenye mikoa ya kigoma, manyara, pwani na iringa??
View ArticleUGONJWA WA KUKOJOA DAMU (Haematuria)
Na Dr. Marise HAEMATURIA ni ugonjwa wa kukojoa damu ambapo kwenye mkojo kunakuwepo chembechembe za damu nyekundu (Red blood cells). Kukojoa damu ni dalili ya kuonyesha kuwa mtu anayekojoa ana magonjwa...
View Article