windmill water pump kwa wafugaji wa samaki!
ni muda mrefu nime fikiria namna ya kuwa komboa wafugaji wa samaki namna ya kufanya samaki wapate oxgen ktk mabwawa ili wakue vzr na mfugaji apate faida kubwa. sasa nimegundua njia rahisi itakayo fanya...
View Articlemsaada wadau
kwa anaye fahamu:faculty ya BS IN PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT; YA ARDHI ANIFAHAMISHE;inahusiana na kitu gani na soko lake likoje LA ajira..,msaada wadau.
View ArticleHistoria ya Viraka vya Katiba na Marais Kuondoka Madarakani
Mwaka 1984Mwalimu Nyerere (R.I.P) Alifanya Mabadilio ya Kuingiza Haki za Binadamu Kwenye Katiba ya JMT ilihali li akijua anang'atuka 1985................enzi zw mwalimu ilikua ZIDUMU FIKRA ZA...
View ArticleSitashiriki maandamano CHADEMA
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali...
View ArticleKuibiwa nguvu za kiume
Kuna habari nimezisikia ,watu haswa wanawake huweza tumia ushirikina na kumpotezea kabisa mwanaume nguvu ya kugegeda ,akabaki mwanaume suruali. Kwa nia ya kumkomoa asipowakubali au kuwaacha,au kumzuia...
View ArticleKwa wenye tatizo la nguvu za kiume
Habari za asubuhi ndugu zangu wakubwa kwa wadogo wake kwa waume? Natumai hamjambo na mu wazima wa afya na kama yupo asiye mzima wa afya basi Mungu atakwenda kuchukua nafasi yake. Tataizo la nguvu za...
View ArticleNini Tofauti ya Maneno Haya Kikatiba?
Ibara na VifunguMabadiliko ya Katiba vs Marekebisho ya KatibaWabunge wa BMK na Wajumbe wa BMKMgombe Binafsi nna Mgombea HuruJamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya WATU wa Zanzibar (kwenye Tanganyika...
View ArticleIntroducing "Dead Beat Kenya"....
How a Facebook group in Kenya is shaming deadbeat parents There are selfish, negligent parents all over the world. In Kenya, however, a new Facebook group has now taken private parental disputes...
View ArticleMwanafunzi Ajinyoga hadi Kufa BUKOBA
Mwanafunzi wa kidato cha tano katika shule ya sekondari ya IHUNGO mkoani Kagera huko BUKOBA amejinyonga na shuka hadi kufa akiwa katika hospitali ya mkoa wa Kagera huku aliacha Ujumbe mfupi kwa nini...
View ArticleFursa ya kuwekeza Kigoma Mjini.
Wadau kwa wanaofahamu vizuri mkoa wa Kigoma kuna fursa zipi ambazo naweza kuwekeza na zikaleta return nzuri,nahitaji kujua ili nianze utekelezaji haraka.Nawasilisha
View ArticleNi mpya baadaya kulipuliwa kwa WestgatE
baada ya kulipuliwa na kuharibiwa vibaya na watu wanaodhaniwa ni magaidi westgatE waliahidi watajenga mpya na kisasa zaidi je kuna mtuyeyote mwenye taarifa ama picha mpya baada ya kulipuliwa Kwa...
View ArticleHedhi na tabia ya mahusiano ya wanawake
Je! Unajua kuwa mzunguko wa hedhi wa mwanamke, pia humsababishia mabadiliko ya uchaguzi wa mwanaume wa kuwa karibu naye? Mfano; baada ya hedhi mwanamke hupenda kukaa karibu na wanaume marafiki,wenye...
View ArticleNews Alert: Pata logo kwa ajili ya biashara yako sasa
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
View ArticleSiasa kali
SIASA KALI KATIKA KUTAFUTA UHURU SIYO KOSA,NA SIASA POA KATIKA KUTAFUTA HAKI SIYO NZURI. In english: EXTREMISM IN THE DEFENSE OF LIBERTY IS NO VICE,PURSUIT OF JUSTICE IS NO VIRTUE. Tujadili kwa pamoja...
View ArticleNews Alert: Breaking news:one scotland
Habari za hivi punde toka BBC,wananchi wa Uscochi wamekataa kujitenga na Muungano wa Kifalme kwa asilimia 55 dhidi ya asilimia 45 ya waliotaka kujitenga.Tanzania tunajifunza nini kuhusu muungano wetu?
View ArticleNauza gar
Ni toyota probox imetembea km 36517,cc yake 1298 na ni ya mwk 2004 bei yake ni mil 9 tu kwa mawasiliano zaid tumia hz no 0768359292 na 0652359291 biashara ni maelewano na picha zake chin hapo Attached...
View ArticleKauli hatarishi ni ipi? Kati ya mbowe na komba?
kabla hajakamatwa MH MBOWE akamatwe mzee wa ndogo aka tumbotumbo aka KOMBA kwa kupanga mkakati wa KIGAIDI kuingia mstuni kijeshi endapo kauli ya wananchi ya kutaka serikali 3 ikikpitishwa
View ArticleIGP Mangu hii nguvu haikuwa lazima
Enzi za mkoloni polisi alikuwa kama mnyama kwa utendaji wake hususani kwa watu weusi. Mambo mengi yamebadilika ingawa mabaki ya ukoloni kwa baadhi yao bado yapo. Tumekuwa tukiiga mambo ya ulaya mbona...
View ArticleNauza gar
Ni toyota porte imetembea km 81000 cc yake 1290 ni production ya mwk 2005 bei ni mil 9 biashara ni maelewano kwa mawasiliano zaid tumia hiz no 0768359292 na 0652359291 na picha zake chin hapo Attached...
View ArticleNews Alert: Service girls&men,ewiii,karibuni mtaani! Huku kuna HESLB&TCU
Karibuni sana mtaani,huku kuna TCU na HESLB,waweza pata chuo no MKOPO,pia waweza chaguliwa kozi ambayo huitaki,all in all msali sana,mungu awasaidie.
View Article