Nauza na kufix Screen za Laptop
Nauza screen za Laptop aina zote. nipo k'koo Aggrey street.Dsm.bei ya screen inategemea na aina na size ya screen. nichek 0716-844978
View ArticleFor immediate release
NEW IMPROVED WEBSITE Dear friends and partners, I hope all is well with you and your family. IÂ’ve completed a major upgrade my real estate website. This upgraded website will give real estate consumers...
View ArticleDawa za uzazi wa mpango kuathiri uchaguzi wa mpenzi
Je unajua chemikali zinazotolewa na wanaume huchochewa na hormone phéromone. Chemicals hizi huhisiwa na mwanamke katika subconcious mind(bila kujitambua kilichomwathiri) -brain limbic systèm; hapo kama...
View ArticleYa Uskochi: Akina Jusa, Maalim, Mbowe chali
Matokeo ya kura Scotland yanawafunga mdomo wale wanaohubiri Zbz kujitenga. Wananchi wawe macho na watu wanaoeneza ubaguzi kwani Tz bara na Zb ni ndugu. Viongozi kama yule aliyemwita Keissy 'mwarabu'...
View ArticleKwanini " HAI" hapawagi na Maandamano ya CHADEMA.
Swali dogo tu nimejiuliza na nnaombwa kujibiwa wana CDM na wengine wenye ufahamu na hili . Ni kwanini Kilimanjaro "Hai" hakutokeafa maandamano ,haususani ya kisiasa ? ukizingatia mikoa mengibe yenye...
View Articlealinilazimisha nitoe mimba
nilikuwa na mpenzi wangu miezi miwili kabla ya tarehe tuliyopanga wazazi wake waje kujitambulisha nikapata ujauzito wake. hapo ndipo nikamfahamu alivyo. alinilazimisha nitoe mimba nilivyo kataa...
View ArticleNews Alert: msomi wa kiislam afungua msikiti mseto
Msomi wa kiisilamu aleta kero Afrika:K Msomi wa kiisilamu amefungua rasmi msikiti ambao anasema wapenzi wa jinsia moja wataruhusiwa kusali ndani. Hii ni licha ya kupokea vitisho vya kuuawa na...
View ArticleKilicho mkimbiza Mbowe South Afrika
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa...
View ArticleDiamond muimbaji UTAPELI yamkuta tena huko London usiku wa kuamkia leo jmosi
Haya promota VICTOR kashikiliwa na polisi, walionunua ticket kuona show yake wamegoma kuondoka hadi warudishiwe pesa na wamerudishiwa. Diamond hakuonekana ukumbi wa la face huko london ambapo...
View ArticleTunawalilia Mwangosi na wahanga wengine, hamkuona mafanikio mliyoyapigania!
Tungependa sana Mwangosi, Zona, Mbwana Masuod na wahanga wengine muone mkutano mkuu wa kihistoria wa chama chenu. Tungependa muone damu yenu ilivyorutubisha harakati za ukombozi wa nchi hii....
View ArticleTumetupwa mkono na wakoloni mapema mno
Miaka hamsini zaidi ya utawala wa mkoloni ungejenga viongozi na taasisi imara zaidi. Utawala wa mswahili unatia aibu. Mwenye macho haambiwi ona.
View ArticleLema kabla ya maandamano ya Leo peleka ile rambi rambi ya maandamano 5:1:2011...
Ndugu wanajamvi Mbunge Lema amekuwa akijinufaisha kwa jasho na ujinga Wa wanyonge kwa kisingizio kuwa anawatetea maandamano ya 5:1:2011 Lema amejengea nyumba njiro yenye gorofa moja na magari ya...
View ArticleWhite house evacuated after an intruder was spoted
White House staff and reporters were evacuated on Friday by the Secret Service because an intruder was spotted running on the grounds of the complex shortly after President Barack Obama departed for...
View ArticleLooking for Job - Social Media Marketer/Community Manager
I haved worked for a year now on publishing, scheduling and measuring engagement strategy. I work with Facebook, Twitter, Google+, YouTube and Pinterest. My profile and pages that I have managed...
View ArticleNayega kubona bushu boko
Kwa wale mnaoandika kingileza mimi sikijui. Aho nakabona akanike kene nuseka hahahaaa. Nu haya bebe mayu imaga nakutogagwa. Kunilola kung'wenya kuseka hado. Nukawila hama lulu ng'wanike uliwape no...
View ArticleLatest info about Tanzanian inmates in Hong Kong prisons
A few days ago ayoung Tanzanian drug trafficker was arrested at HK airport, the first Tanzanianso arrested since the end of May. Arrested man had collected his drugs inKuala Lumpur before flying to HK....
View ArticleCCM Kuanza Kutimua Wanachama Ndumilakuwili
Chama Cha Mapinduzi Kimetangaza Nia ya Kuwatimua Wanachama wake wanaoonekana kuwa ndumilakuwili kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Nchini Chanzo: Magazeti ya Leo
View Article