Nikipewa Urais wa tanzania nikashindwa kutoa ajira Million50 Ninyongwe...
Kwa fursa za kiuchumi zilizopo kila mtanzania mwenye uwezo wakufanya kazi naweza mpatia ajira na kila mwananchi anayetaka kusoma ninaweza msomesha bure kwa kiwango chake mwenyewe. Naweza hakikisha kila...
View ArticleKiwanja kinauzwa
kiwanja kipo Dar-es-salaam tabata segerea kina offer na ukubwa ni square meter 746 kinauzwa mil. 17. anaeitaji aniPM
View ArticleNews Alert: Wachaga nomaaaa,:-@
Jamaa 1 alienda kufanyiwa upasuaji hospitalini akachomwa dawa ya nusu kaputi kwa ajili ya upasuaji huo akawa kama kafa kabisa doctor alivyomaliza kumfanyia akawa anaondoa vitu kwa bahati mbaya...
View ArticleJF members wa Dar
Waungwana nawasabahi... Leo nipo dar wapi naweza kuonana na JF member wengi tubadilishane mawazo! Asanteni
View ArticleToyota nadia
ipo Dar es salaam, gari ipo katika hali nzuri sana. imetembea km 130,000 tu haijawahi kuguswa injini. bei maelewano. mawasiliano 0754403356 au 0752555055 Attached Thumbnails
View ArticleJumanne Miraji Simba
Wakuu, kama kuna mtu yeyote independent mwenye interest ya kuchunguza suala la Kibanda na la video ya Rwakatare, amchunguze huyu mtu... Kwaherini
View ArticleNews Alert: Chadema Mpango wa Mungu"
Nawashauri tuu wana ccm kazi ya kuichafua 'Chadema Mpango wa Mungu" Hamtaiweza hata kidogo Tunajiamini na Umma,Tunaaminika na Umma,Tunakubalika na Umma, Tunaheshimiwa na Umma'.
View ArticleTFF Yatoa ufafanuzi sakata la katiba
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) amewataka wadau wa mchezo huo kuwa watulivu kwa vile tofauti zilizojitokeza kati ya Shirikisho na Serikali zitamalizwa kwa taratibu za mpira wa...
View ArticleNews Alert: Mtanzania kumhusisha membe na kipigo cha kibanda, je ni vikumbo...
Gazeti la Mtanzania liliripoti waziri Membe kuhusika na mateso ya mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Bw.Absalom Kibanda. je ni kweli amehusika au ndio vikumbo vya kupigania urais vimeanza ndania ya CCM.
View ArticleNews Alert: New technology ilio tumika kumkamatisha lwakatare hiapa..kila...
New technology ilio tumika kumkamatisha lwakatare hiapa It is an application developed at New York University, known as Video Rewrite, uses computer to match lip movements with the new voice track. hi...
View ArticleWaziri agrey mwanri umedanganywa na halmashauri ya mji mpanda
Katika ziara yako uliyoifanya siku za karibuni hapa wilaya ya Mpanda ulielezwa kwamba ukarabati wa stendi ya mjini Mpanda itawekwa lami pamoja na barabara zinazoingia maeneo ya stendi ambazo inafikia...
View ArticleUkiona dalili hizi huhitaji kupigiwa kengele,jua umri umeenda!!!
1. Huna muda wa kushinda na mpenzi wako kutwa nzima mkipiga stori za mapenzi 2. Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani 3. Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi kuliko pombe...
View ArticleKwa Rwakatare je hii ni halali?
Kukaa rumande kwa zaidi ya saa 24 bila kufunguliwa mashitaka. Je huu si uteswaji wa wazi. Au ndio yuko kizuizini? Tumpokee lini mtaani kama shujaa kwa mkutano
View ArticleNdugu hawamtaki mke wangu mtarajiwa sababu ni mwislamu
Habari zenu wadau,hapa sihitaji ushauri bali nataka kushare tu yaliyonikuta. Mimi ni mkristo mkatoliki lakini nimetokea kuangukia kwenye mapenzi na binti mmoja mzuri,mtamu,mstaarabu sana wa...
View ArticleBaraka za Bwana ziwe juu yake!!
Ni wachache mno duniani watu wenye moyo kama huu akiwemo na Kaunga tu Attached Thumbnails
View ArticleBujibuji vs SHOP ATTENDANT
. "Bujibuji: I wanna buy a bra for my girlfriend but I am not sure about the size. Shop attendant," Is she slim, big or like me?" Bujibuji: just like you. Shop attendant: Ok then I can show you my...
View ArticleUnayejua wanunuzi wa asali kwa kiasi kikubwa tafadhali
Ndugu wan JF wenzangu, Nawasalimia. Kwamtu yeyote aliye na contacts au anayejua wanunuzi wa asali (asali genune) walioko popote Tanzania hususani Dar naomba anisaidie contact zao au ili niweze...
View ArticleWATANZANIA Sasa SI MUDA wa KUSIKILIZA POROJO ZA CCM na SERIKALI
Mtz yeyote mzalendo na anayeona mbele kuhusu hatma ya nchi yetu sasa tambua huu si muda wa kupumbazwa na harakati za CCM na SERIKALI yake za kutudanganya kwa kupika uogo wa kuwazushia wazalendo wa nchi...
View Articlekikosi cha yanga kilicho anza dhidi ya jkt luvu
1.Ally Mustafa 'Barthez' 2.Juma Abdul 3.Oscar Joshua 4.Nadir Haroub 'Cannavaro' 5.Mbuyu Twite 6.Athumani Idd 'Chuji' 7.Saimon Msuva 8.Frank Domayo 9.Nizar Khalfani 10.Hamis Kiiza 11.Haruna Niyonzima...
View ArticleKwa mwamke anayemanisha kutafuta mwanaume wa kuishi naye
Jamani natafuta mwanamke wa tunayeweza kuishi naye kama mke hapo baadae kama tutaelewana, awe tayari kupima vvu, aliye tayari tuwasiliane yule tu anayemanisha unaweza pia kuwasiliana nami kupitia...
View Article