Swali dogo tu nimejiuliza na nnaombwa kujibiwa wana CDM na wengine wenye ufahamu na hili .
Ni kwanini Kilimanjaro "Hai" hakutokeafa maandamano ,haususani ya kisiasa ? ukizingatia mikoa mengibe yenye wabunge wa CHADEMA yamekua yakiianda maandamano .
Kulikoni Hai ?
Mod naomba usiunganishe thread hii na nyingine . !
Ahsante .