Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live
↧

Chinua achebe afariki dunia!

Mtunzi wa vitabu maarufu nchini naigeria ndugu;CHINUA ACHEBE amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 85! atakumbukwa kwa umahiri wake wa vitabu km; THE RIVER BETWEEN,THINGS FOLLOW APART, na vingine;...

View Article


Strange Cat with Goat Version Voice

Huyu ni mbuzi wa Boflo jamani kasheshe kweli hii dunia ndio inakwenda Mwisho wake.Maajabu hayo Paka mwenye sauti ya mbuzi.......

View Article


Bagamoyo Port plan delights many

Details Published on Friday, 22 March 2013 04:53 Written by ORTON LOCAL NEWS Bagamoyo Port plan delights many CONSTRUCTION of the proposed modern port at Bagamoyo is set to transform the historical...

View Article

Kaka yangu ana mke

Habari?,jamani naomba msaada wa kuandika sentensi hii katika wingi: "kaka yangu ana mke"

View Article

Niende wapi na four ya 27??

Nisaidieni wana jf course ya kusoma nianze na certificate kwa sababu sina muelekeo nina d zote na c ya n

View Article


News Alert: Itv kipima joto: Je mapambano ya rushwa, jamii inawezeshwa katika...

Mapamabo dhidi ya rushwa je mfumo unaiwezesha jamii kushiriki katika mapambano hayo kuitokomeza?? Wageni 1.Mwanaharakati Albanie Marcossy, Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Civil and Political Right...

View Article

Laptop mbovu

Compaq HP cq 64, ram 2gb, hard drive 160, motherboard ilizingua nikaipotezea bei maelewano, serious buyer pm only

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nnko aliokoa mtu saa tatu mauti kumfika

Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Koplo Eliza Nnko aliyeuawa katika ajali ya gari akiwa kazini na kuzikwa Dar es w Salaam, jana. Na Mpigapicha Wetu . KWA UFUPI Akizungumza...

View Article


...Mabinti/Wanawake ambao hamtulii ktk mahusiano yenu (Cheaters) ... Chukueni...

.....Siku unazopanga kumchiti mpenzi wako wa Dhati, hakikisha umemuacha amekushiba..... .....unapoenda ku chit..usitumie mipira yenye harufu,, sijui strawberry,apple, etc. coz haruffu husomeka kwa...

View Article


Yamoto moto ya kupumzikia weekend! >>>>>>>>>>>>!

>>>>>WAGOGO watatu walikwenda kumtembelea ndugu yao mjini nae akawakaribisha kwa kuwapa soda walipoondoka mmoja wao akaweka kizibo cha soda mfukoni badae walipofika mbali akamnong'oneza...

View Article

News Alert: Polisi wadai kumhoji Ramadhan Ighondu wa Ikulu

JESHI la Polisi nchini limedai kumhoji mtu anayedaiwa kuwa Afisa Usalama wa Ikulu, Ramadhan Ighondu, anayetuhumiwa kuwa mhusika mkuu katika tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...

View Article

How do you feel?

chagua jibu moja, mbili au tatu: sleepysadirritatedhappyjealoussurprisedin loveworriedanxiousdepressedexcitedenthusiasticboredlonelyhungryangrysatisfieddesperatehopefulgorgeous. Mi mwenyewe I feel 4, 7...

View Article

Medical Dark Ages

Medical Dark Ages Dr. Dean Burk, co-founder of the National Institute: "The more people making a living off cancer, the more impossible it is to get rid of it." "If enough money can be made on it,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baba V: wa Mahusiano......Madame B nabwaga Manyanga kwa huyu.

Habarini za jioni Mabibi na Mabwana wa humu ChitChat. Kiafya mimi ni Mzima na ninaendelea vizuri sana sana. Kwako Baba V, Mwenyekiti wa Tume ya Mahusiano Humu CC. YAH: KUOMBA KUTENGUA NDOA YANGU NA...

View Article

Sakata la Kibanda:Magazeti ya Mtanzania na Tanzania Daima hatarini kufungiwa!

HATUA ya vyombo vya habari kulivalia njuga suala la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda haiwafurahishi watendaji wa serikali. Vyombo kadhaa vya...

View Article


Mwalimu j.k nyerere alisema

"Tanzania bila ccm madhubuti itayumba" je ni kweli!

View Article

Mliosoma au kuifahamu Tumaini - Iringa, je hii ni kweli?

Katika kupiga stori huku mtaani nimekutana na hii. Kuna jamaa mmoja alihitimu shahada ya kwanza ya Utalii (Cultural Anthropology and Tourism ) hapo Tumaini - Iringa mwaka 2008. Jamaa huyo anajuta sana,...

View Article


Kwa Mantiki Hii; CHADEMA ukombozi ni NDOTO.

Nasikitika kuona Majimbo mbalimbali hapa Dar es Salaam kuendelea kubweteka na kudhani Ukombozi umetimia. Nashangaa kuona baadhi ya vikuruti/ vibaraka wakijiita MAKAMANDA wakati Kazi waitendayo ni...

View Article

Wazo la kulalia

Baya lisilodhuru ni sawa na jema lisilo na faida

View Article

Tigo tigo!...kumbeeee!...

Jaman jaman! Wanawake wa kibongo hawafai! Kuna sistaduu mmoja ana mzigo mzito sana!..i mean ana makalio ya haja! Yani mtaa mzma anatingsha! Juzi niltupa ndoano akatiki! Siyo siri haya madude yana mzuka...

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>